Sasa nimeelewa vizuri kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Simbachawene alisema "Jeshi la Polisi linaajiri waliofeli shuleni, halitaki waliofaulu vizuri!"
Inavyoelekea unajiropokea tu, hebu tueleze huo uzandiki wake ni upi? Alisema jambo gani baya kwa jpm? Weka hiyo clip hapa tusikie alichokisema kisha utufafanulie huo uzandiki. Au ndo bado mnataka tuongozwe na mtu aliekwisha kufa? (ni kwa mapenzi ya Mungu na sote tuliobaki tutakufa pia)
Mimi nadhani tusiangalie kubana matumizi ya fedha peke yake, bali pia tuangalie anaebana matumizi ya muda pia (ni yupi kati ya anaetumia ndege na anaetumia msafara wa magari barabarani anaeweza kufanya mambo mengi katika maeneo mengi kwa muda mfupi)
Kadhalika tuangalie kati yao ni yupi...
Yeye mwenyewe ni gwiji la siasa za bongo, na pia anezungukwa na magwiji ambao anaweza kuwatumia kufanikisha mawazo yake chanya. Miaka 5 aliyofanya kazi na JPM imeshampa mwanga wa namna ya kufikia malengo, yeyote aliefanya kazi na JPM kwa miaka 5 na akafanikiwa kuteuliwa tena, basi ujue yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.