Recent content by Mgulusi

  1. Mgulusi

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Nashukuru sana kwa ushauri wako kiongozi, ngoja niitafute nikifanikiwa nitaleta feedback hapa
  2. Mgulusi

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Mambo vp kiongozi. Naomba msaada, nyanya yangu majani yanapata kutu na kukauka,mwisho wa siku mpka mche unaathirika. Naomba nisaidie kujua dawa gani nitumie inisaidie kuzuia hii hali
  3. Mgulusi

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Wakuu nimepatwa na changamoto ya majani ya nyanya kuungua na kunyauka, nimejaribu kuuliza ni ugonjwa gani wengine wanasema ukungu wengine joto la ardhi. Naombeni wataalamu mnisaidie kujua hiki ni nini na dawa yake
  4. Mgulusi

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Nashukuru sana kiongozi
  5. Mgulusi

    Jifunze kilimo cha nyanya

    hiyo sehem ya vegetables imeandikwa 1.0 - 1.5 L/Ha use approx 600 - 800 | water/ ha. Nimeshindwa kuelewa kabisa hapo japokua nimeenda kuulizia niliponunua wamenambia nipime mls 35 kwa solo moja
  6. Mgulusi

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Kiongozi naomba kufaham hii buster WUXAL kwenye nyanya natakiwa kuweka kiasi gani katika solo la lt 20. Mana katika maelezo yake kwenye chupa nimeshindwa kuelewa vizuri
  7. Mgulusi

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Nashukuru sana kiongozi, na je hii buster kipimo chake ni ml ngapi kwa solo la lt 20 msaada tafadhali
  8. Mgulusi

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Wakuu nimeufuatlilia huu uzi kwa umakini sana toka mwanzo, nimejifunza mengi sana katika kilimo hiki cha nyanya. Mimi ndo nimeanza mwaka huu kilimo hiki nimeanza na nusu eka kwa majaribio ila pia nimetumia hizi mbegu za kawaida nia yangu ilikua ni kujifunza kwanza kabla ya kuingia rasmi...
  9. Mgulusi

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Habari za leo wana JF. Mimi ni mgeni humu ndani lakini nimevutiwa sana na hii thread. Kilimomaarifa naomba unicheki kwenye email yangu niweze kujua napataje hizi nondo kutoka kwako. anatoly.r@hotmail.com
Back
Top Bottom