Mleta mada, mbona unamuuliza mfanyabiashara alipe kodi ambayo mteja hajailipa?
Tafadhali rudia tena hesabu zako, yaani figure ulizokokotea hio VAT hazina mashiko au UKWELI
Kwa hio naomba hiyo math homework uirudie..
Na mods nawashauri muwe na wataalam wa accountancy kwenye moderators wenu...
Samahani inayotakiwa kuhojiwa ni kamati ya bunge au Zito na Kangi,?
Kwa nini kuhoji personalities badala ya kamati, ambayo yakuulizwa swala la msingi wamepitisha vipi hio budget ya CAG ya 70+billions
Na swala jengine la msingi, kipi kitaathirika ktk utekelezaji wa kazi za CAG, ikiwa budget Yao...
Tatizo ninaloliona hapa
Mzee mwanakijiji haelewi kazi inayofanywa na CAG, na na kikubwa zaidi cha kusikitisha haelewi auditor ni nini, na wanafanya kazi vipi.
Anachoongelea ni nadharia inayotoka kichwani mwake, yaani kama hadithi za kutunga, ambazo hazina msingi wowote, maelezo mengi bila ya...
Hii issue ni kama repeat ya kilichotokea hapo awali, kwa kumbu kumbu zangu, Tender hii hapo awali ilipatiwa kampuni ya WTM.
Ilifikia step ya kumuandikia rais mstaafu barua ya wazi na kumpa vielelezo vyote vya ubatili na wizi wa uwazi kabisa uliofanywa kipindi hicho.
Kuwakumbushua pitieni hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.