Recent content by Mgonjas

  1. Mgonjas

    JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Yeyote anayeunga mkono Zanzibar kwa kunyima wengine kula kisa wamefunga ni mjinga hajielewi
  2. Mgonjas

    JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Halafu wanajifanya wanamjua Mungu,mungu gani wakati wanaroho mbaya kama nini,kwani wakristo wakifunga kwaresma mbona hawanashida na mtu,waislam mungu wao ni gaidi
  3. Mgonjas

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye line za m-pesa,tigo pesa na airtel money

    Asante kwa ushauri
  4. Mgonjas

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye line za m-pesa,tigo pesa na airtel money

    Nashukuru saana aisee japo naskia inachukua MDA saana lakini nitafatilia tuu.
  5. Mgonjas

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye line za m-pesa,tigo pesa na airtel money

    Unanishaurije ndugu yangu?tafadhali ushauri wako ni msaada kwangu
  6. Mgonjas

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke aliyekuzidi miaka 10 na ana Watoto wawili anataka kuanza maisha na wewe! Utafanya nini?

    Nyie vipi?kwahiyo inamaana ss single mother hatuna haki ya kupenda au kupendwa?mbona mi single father ipo kibao je wakezao wao mbona hawanashida?
  7. Mgonjas

    JamiiForums Tanzania Nanunua laini za uwakala

    Habarini wapendwa,kama kichwa cha habari kilivyojielezea nahitaji hizo line kwa mwenye nazo tuwasiliane
  8. Mgonjas

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye line za m-pesa,tigo pesa na airtel money

    Habarini wapendwa wangu,samahanini mimi ni mgeni hapa lakini nilikua na uhitaji kama kichwa cha habari kilivyoelezea mwenye navyo naomba tuwasiliane,asanteni ndugu zangu.
Back
Top Bottom