Recent content by mgoloko

  1. mgoloko

    Sakata la Makonda na Utapeli wa Gari: Kamwelwe(Mwenye gari) anadaiwa ni mkimbizi, tapeli na katimuliwa Burundi

    Wakati unanijibu ambatanisha na ushahidi zikiwemo sheria na kanuni za uraia wa Burundi kuhusu raia wa kuzaliwa mwenye hati ya bandia
  2. mgoloko

    Sakata la Makonda na Utapeli wa Gari: Kamwelwe(Mwenye gari) anadaiwa ni mkimbizi, tapeli na katimuliwa Burundi

    Mtoa mada nami nikuulize swali maana naona kama hukutafakari kabla ya kuleta hili pizza, je raia mwenye kosa la jinai anawezaje kufukuzwa nchini kwake? Jibu nikuulize tena
  3. mgoloko

    Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

    🤣🤣🤣🤣🤣
  4. mgoloko

    Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Magufuri alikuwa akikopa kwa siri huku wenye akili tukijua na Ndugai akijua na akimsifu kinafki. Ndugai ikipendeza aonyeshwe documents Magufuri alikopa kiasi gani tena aseme wazi mbele ya umma. Watu walizibwa midomo leo anaongea mjinga sana
  5. mgoloko

    Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

    Title ina kiingereza kibovu ajabu
  6. mgoloko

    Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

    Yaleyale ya Magufuri PhD bandia hii ni Nchi ya ajabu sana
  7. mgoloko

    Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    Hati ya mashtaka imemtaja Paul makonda wakati mshtakiwa jina lake ni daudi bashite mambo gani haya?
  8. mgoloko

    Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

    Wewe ulitaka Nape awaambie kitu gani watu wake wakati Magufuri ndiyo chanzo cha matatizo haya? Eti CCM! Sio CCM ni Magufuri kwa maamuzi yake ya ujinga. Wacha hao wahindi wafaidike sasa kwa ujinga wa maamuzi mabaya
  9. mgoloko

    Hivi Mayanga Construction, kampuni ya ujenzi wa barabara nyingi awamu ya 5 imepotelea wapi?

    Yupo ana V8 nyeusi ni mpwa wa Magufuli sasa kama kachoka hivi
  10. mgoloko

    Nape ana hoja ya msingi ila shida ni yeye

    Hapa ndiyo penye shida ya awamu ya JPM. Hawataki mawazo tofauti ili tusonge mbele kujifanya wao ndiyo wenye uelewa mkubwa kuliko waTz zaidi ya milioni 60, Magufuri alikuwa hataki kupata changamoto toka kwa yoyote ukiongea tofauti naye kifo umekikaribisha na hii si sawa. Mungu ametuumba tofauti...
  11. mgoloko

    Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

    🤣🤣🤣 ndugu yangu unafikiri hawa wapo humu jukwaani hivi sasa wakati mfadhili yupo motoni. Jingalao sijamuona muda mrefu tangu kayafa aende kuadhibiwa kwa mola wake na magonjwa mtambuka ndo hivyo ana madeni makubwa. Somo kuu; usiishi kwenye dunia hii kwa kumtegemea mwanadam mungu hana rafiki
  12. mgoloko

    Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

    Tena wanavyopenda vyeupe ingekuwa balaa
Back
Top Bottom