Recent content by Mgoc

  1. M

    Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    Congrats T.Lissu kwa utetezi makini.Kweli tungepata vichwa vingine kama wewe hii kada ya sheria ingekuwa mbali sana. Keep it up brother
  2. M

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    Mmmmhh kweli Tanzania shamba la bibi!!!!!!!Ukishaona hadi wajuchangaji wanaiba jua hali ni tete.Eee Mungu saidia Tanzania na uwalinde watu kama Prof.Muhongo kwa ujasiri wake. Pia ma great thinkers wenzangu tujitahidi kupiga debe kwenye katiba mpya mawaziri wasiwe wanasiasa.Mfano mzuri tunauona...
  3. M

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    MMhhhhhhhh wadau hii nchi tunakazi kubwa sana kama vijana kuikomboa hali ni tete mnoooo.Mmarekani akisheweka mguu sehemu yenye masilahi kwake ni ngumu kumtoa Eeeeh Mungu tusaidie. I love my country TZ
  4. M

    Sakata la kuuzwa UDA: Kauli za Idd Simba, Masaburi, Kisena et al utata mtupu

    mmmm maskini Tanzania yangu,hvi mpaka lini tutafanywa majuha???kweli we need changes as soon as possible
  5. M

    Chenge kujivua gamba leo?

    mmmmhh kweli kazi nzito ...tunachohitaji ni uwajibikaji wenye tija siyo kuachia ngazi bila kuadabishwa...
  6. M

    PPF Group Endowment Saga: THE FINAL REPORT

    Thanks mwanakiji for critical analysis of various issue for the best of many Tanzanians.
Back
Top Bottom