Recent content by Mgmi

  1. M

    JamiiForums Tanzania NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

    fanya kujiuliza pia kama ile safari ya miaka 50 iliyopita yalikuwa maigzo je! Hapa miaka yote hii iliyopita wameshindwa kufanya uigizaji mwingine ulio bora zaid ya ule wa mwanzo? kwani wakiamua kuigiza huo uwezo wanao bila shaka yoyote, kama waliweza enzi hizo vp leo wasituigizie ili kupunguza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ulaya mbali sana. sema tanzania ni kubwa kuliko ukreini kwan tanzania ina mita za mrabalaki tisa na ukreini wana laki sita hii ndo vita ya supa pawa mwezi wa sita sasa bado yupo mpakani kwa tanzania unaweza kulinganisha na adui mkenya na vita inapiganwa arusha na moshi, ukija dodoma,singida...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 42 wa Mali wauawa katika shambulizi

    Mashambulizi ya aina hyo yalikuwepo tokea mwaka 2019 je hapo urusi ndo aliekua akihusikaa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Inaonesha sababu ya Putin kuishambulia Ukraine si kujiunga NATO

    Yawezekana sababu haikuwa kujiunga NATO pekee maana ukraine alishasema kuwa mpango wa kujiunga NATO Ameshaachana nao lakin jamaa bado hawapo tayari kusitisha vita, nadhani putin lengo lake nikuigawa ukraine,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu bora za kivita: Russia and Ukraine war case

    Kama ukraine ataendelea kupewa siraha anazopewa hii vita sio yakuisha hivi karibun,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ukraine ni ndogo hivi kwa Russia, kweli ukubwa sio ushindi

    Urusi ana ukubwa wa km za mraba milion 17 ukraine km za mraba laki sita, na tanzania ina km za mraba laki tisa Kwahiyo hata tanzania ni kubwa kuliko ukraine,
  7. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    lakin mariupol ina wakazi wasiozidizi laki5, utalinganisha na dar yenye wakaz milion 5 plus?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    ni kama marekani anaogopa kushutumiwa na urusi kwamba anaisaidia ukraine hizo ndege vita, lakin mkuu mbona hiyohiyo marekani na nchi kibao zinapeleke siraha za kila aina kwa uwazi na kujitangaza pia, sasa hizo ndege mbona kama wanaziogopa, ha likin mkuu, mbona marekani na nchi kibao2...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    kwa mabomu ya nyukria aliyonayo urusi hakuna nchi inayopenda au itakayopenda kuishambulia urusi hata kama dunia nzima ikijiunga NATO alichofanya ni ubabetu wa kumuonea mnyonge hata hivyo jesh la urusi limepata aibu kubwa, haliko vile weng walivokuwa wanahisi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    na wakitoka urusi anawapeleka belarus au urusi, kitu ambacho waukraiane hawataki kwenda kwenye hizo nchi ambazo ndo watesi wao, hayo magari yangekuwa yanaelekea poland mambo yangekuwa tofaut.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    mkuu, nimekuwa nazifatilia post zako kwa hakika unajua mambo mengi ya kijeshi kuliko hata baadhi ya wanajesh wenyewe, lakn kuna swali najiuliza kuhusu hii vita mbona kama vifaru na magari ya urusi yanahalibiwa kwa wingi sana? Au Urusi ana kikosi kibovu cha ardhini, au ant tank javalin zimeosha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Boeing imesitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi

    Ndege ipi inayobeba abiria inayoundwa na urusi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Putin atafanya nini baada ya kuiangusha Serikali ya Ukraine? Au alikurupuka kwa hasira?

    naunga mkono hoja, kwamba urusi anaweza kuishnda serikali ya ukraine kwa sasa, lakin raia hawaitaki urusi atapata shda kubwa kuitawala au labda alijua kuwa raia watamuunga mkono,
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasaini maombi ya kujiunga Umoja wa Ulaya (EU)

    vita ina mambo mengi wewe dada, kwan unazani yeye haujui huo utaratibu, anajua kuliko wewe yaweza kuwa ni proganda za kumtisha zaid urusi, au anamaanisha pia maana huo utaratibu wa kuchukua mda mlefu kujiunga umewekwa na hao hao na ni hao hao wanaweza kuuvunja kwa sababu wanazozijua wao, kumbuka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasaini maombi ya kujiunga Umoja wa Ulaya (EU)

    kaamua kumchagua myahudi mwenzake huyo, maana raisi wa ukraine nae ni myahudi
Back
Top Bottom