Recent content by MGK

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi waungwana

    Hello wapendwa jukwaani,Mimi ni Mgeni kwenye jukwaa hili,nimependa kuungana nanyi ili kujifunza mengi kutoka Kwenu🙏
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

    Kipimo Cha kwanza Cha DNA ni macho yako Kama hakuna mfanano wa kitu chochote kwa Mtoto wako jua sio wako,hivyo vipimo kibongo bongo ni fake tu,Kama wewe ni Kidume chukua specimen kapime Nje but sio Bongo.Pole na Hongera.
Back
Top Bottom