Recent content by Mgenzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Street children si Watoto wa mtaani? "Umadi" ni nini? Nani anatumia "watoto umadi"? Je, misamiati hii ni ya mtindopeke ("idiolect", yaani lugha ya mtu binafsi) au lugha ya mitaani au lugha sanifu? Tafadhali mnisaidie kuelewa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bao la kete

    Hamjambo! Ninaandika hapa kwa mara ya kwanza, kwa hiyo tafadhali unisamehe nikifanya makosa ya aina yoyote! Kwa kawaida ninashindwa kuelewa maneno ya nyimbo za Kiswahili (za lugha yoyote, kwa kweli!) mwanafunzi mmoja wa Kiswahili alitaka kufahamu wimbo huu: (AT - Bao La Kete (HD)). Mimi...
Back
Top Bottom