Recent content by mgenii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    uko sahihi sana...lakini mtaji wa kufungua course ni mkubwa na mimi kwa kuwa bado sina kipato so nimeshindwa kufanya hivyo.....nimeamua kuanza na biashara yenye mtaji kidogo kutokana na mfuko wangu....pale ntakapokuwa na capital ya kutosha nitafanya hilo.....nina malengo makubwa sana na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    asante sana .......ubarikiwe.....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    nashukuru sana mkuu wapi soko la mitumba linapopatikana???
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    nafikiria kupanua biashara yangu....nikipata soko zuri .....asante kwa ushauri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    napatikana dar-es-salaam....mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    asante hujui tu ni jinsi gani umenipa moyo na nguvu ya kuendelea zaidi......shukrani..sana ...mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    asante sana......nitafanya hivyo as soon as possible......
  8. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    napatikana mkoa wa Dar-es-salaam..... bab-D
  9. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo katika biashara

    Habari wana jamii forum ...mimi ni binti niliyemaliza chuo mwaka jana na nikahitimu masomo yangu ya stashahada ya computer science....na kupata matokeo mazuri tuu ya first class... Mpaka sasa sijabahatika kupata kazi na kuitwa kwenye interview.....hivyo basi ningependa kujiajiri mimi mwenyewe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania muongozo katika biashara

    habari wana jamii forum.....mimi ni binti niliyemaliza chuo mwaka jana....na nikahitimu masomi yangu ya stashahada ya computer science na kupata matokeo mazuri tuu ya first class..... Mpaka sasa sijabahatika kupata kazi na kuitwa katika interview...hivyo basi ningependa kujiajiri mimi mwenyewe...
Back
Top Bottom