Recent content by MFULUNI MFULUNI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gastric na gesi tumboni inavyoniua

    Tumia hizo dawa zitakusaidia ata wagonjwa wa bawasili zitawapa matibabu, maana bawasili pamoja na sababu nyingine ni matokeo ya vidonda vya tumbo katika utumbo mpana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki, Fundisho la Kuomba Kupitia mnaowaita "Watakatifu", Mf Mtakatifu Francis, mlilitoaga wapi??

    wakati nasoma hiyo mistari katika Biblia nikaja kugundua Watakatifu kuwaomba sio tatizo kwa kuwa wanafanyakazi kwa karibu na maagizo ya Mungu kuanzia mfalme Nebukadreza walimtokea kwa ndoto lakini Yesu akiwa akiwa katika maombi nao walimtokea na kuzungumza nao na walikuwepo tangu zamani Daniel...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

    Huo unaitwa Mgude . Kuna methali yake inasema " Asali ya Mgude - huliwa kwa macho" unateleza sana hivyo ni mgumu kuupanda.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna walimu wa kufundisha Kifaransa, Kiarabu na Kichina? Walisomea wapi haya masomo?

    Dunia ya sasa ni ya teckinolojia kunasoftware nyingi zinazotafsiri Lungha, na ikumbukwe lungha sio UJUZI, Ata mfaransa akija Tanzania ata hitaji IT,Food, Acc na wajuzi wengine. Tuna ndugu wengi wamesoma lungha hizo wapo hawazalishi na hawaajiriki zaidi parttime za ukarimani . Tungeanzisha...
Back
Top Bottom