Mtoa mada aliyekutuma mwenyewe hajielewi kama wewe.......Lowasa akipita nadhani utajinyonga dadeki
Hamtaki kutuambia mtaifanyia nini Tanzania, mmekazana tuu na majungu na uzandiki usio na maana
Wewe magofuli hata akatambike hana uwezo wa kuibomoa ngome ya lowassa coz hata ye mwenyewe anasubiri neema ya lowassa ili amrufishe kuwa waziri......Raisi wa awamu ya tano mh.EDWARD LOWASSA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.