Recent content by mfugasili

  1. M

    Rais Zelensky wa Ukraine anaweza kuitumbukiza dunia kwenye janga la vita kuu ya dunia

    Marekani na URusi ndio walewale wazungu hawawezi kurudia makosa ya miaka ya 30 na 20 huko wote wanajua uchungu wa vita za dunia.
  2. M

    Rose Mhando ni kama Michael Jackson, tusipompa msaada mapema tutakuja kujilaumu sana

    Asante mkuu, ni ukweli unajua katika kipindi kigumu kama hiki kwake na kwa wale waliokuwa karibu naye mfano watoto au ndugu, si rahisi waweze kupaza sauti za kuomba msaada, wanatakiwa kupaziwa na watu wengine baki kama sisi tusiokuwa na undugu nao lakini tunaliona tatizo. Tukiamua kukaa kimya au...
  3. M

    Rose Mhando ni kama Michael Jackson, tusipompa msaada mapema tutakuja kujilaumu sana

    Si lazima iwe ni Mimi ninayejuta kwani ni dhahiri Michael Jackson baada ya kufa watu wengi walisikitika hasa mashabiki wake mpaka wengine wakazimia. Kama utakumbuka matajiri wengi wanamuziki walimlaumu sana kwa usiri wake ktk tatizo lililokuwa likimsibu ndio maana nikasema pengine...
  4. M

    Rose Mhando ni kama Michael Jackson, tusipompa msaada mapema tutakuja kujilaumu sana

    Mimi sina ukaribu wowote naye lakini kutokana na tafiti nilizofanya kwa kusoma na kusikiliza taarifa mbalimbali kuhusiana na matatizo ya mwimbaji huyu inaonekana kama ana tatizo la kiafya linalomsumbua kwa muda mrefu na kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo na yeye anavyozidi kuchoka na...
  5. M

    Gwajima hakukosea juu ya kauli yake kuhusu uislamu huko Marekani

    Kuna kitu watu wanashindwa kujua, nchi za magharibi ni wajanja, Demokrasia wanayohubiri, usawa na haki za binadamu haziwezi kuruhusu kirahisi dini moja kutawala dola, ukitaka kufahamu hili tazama madhehebu ya kikristo, Ukristo Magharibi chanzo cha kushuka sana mpaka sasa ni maendeleo makubwa...
  6. M

    Rose Mhando ni kama Michael Jackson, tusipompa msaada mapema tutakuja kujilaumu sana

    Na yan Na yangekuwa ni haya madawa ya kawaida ya kulevya ingebainika wazi tu wasingekosekana hata wale wanaomuuzia kuropoka mahali. Sasa wale waliokuwa nae karibu hasa waimbaji wenzake ndio walipaswa kujua ikiwa kama ni madawa kiuhakika wamshauri kwa uwazi kabisa ili akubali kupelekwa sober...
  7. M

    Rose Mhando ni kama Michael Jackson, tusipompa msaada mapema tutakuja kujilaumu sana

    Tuhuma za kuwaliza watu yawezekana zina ukweli lakini mimi ninachosema ni kuwa, alifanya hivyo kusudi? isijekuwa pengine ni kutokana na matatizo ya ugojwa kama baadhi ya watu wanavyodai. Maanake kama alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya mwili kiasi cha kushindwa kuattend maonyesho huwezi ukamlaumu...
  8. M

    Rose Mhando ni kama Michael Jackson, tusipompa msaada mapema tutakuja kujilaumu sana

    Haya ya Rose Mhando mimi nayafananisha kama yale ya Michael Jackson, tuongee yote lakini pengine ukweli tutakuja kuujua baada ya Rose kuondoka duniani na watu wengi watajutia sana ni kwanini walishindwa kumpa msaada aliokuwa akihitaji na badala yake kumlaumu na kumtuhumu kwa vitu ambavyo...
  9. M

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Watu wengi hasa wazazi huhofia sana watoto wao kwenda kule kutokana na historia ya matukio ya watu wengi waliowahi kufia humo wakijaribu kuogelea au kuvua samaki kienyeji. Kinachowaponza mara nyingi ni hichocho ulichosema kwamba lina kitu kama slope hivi mita chache tu kutoka ufukweni, ukiwa...
  10. M

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Mkuu huwezi amini hili Ziwa lipo pale Rombo lakini watu wengi wilayani humo wanazaliwa mpaka wanakufa bila kufika pale, sababu kubwa ni watu kutokuwa na mwamko wa utalii wa ndani kama aliokuwa nao dada yetu HEAVEN ON EARTH. Sisi wenyewe tulilazimisha kwenda huko, hata tungeliomba ruksa...
  11. M

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Nashukuru mkuu kama nimepaniki kidogo nisamehe, najua kweli una haki ya kujiridhisha hasa kwa picha na naahidi nitaziscan kesho na kukuletea.
  12. M

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Mbona hatujaona stori yako yeyote ili nayo tuijaji kama ni ya ukweli au ya uwongo zaidi ya comments kwa stori za wengine tu tena nyingi zikiwa ni za kubezabeza tu? Unajua sometimes comments za mtu moja kwa moja huonyesha ni dizaini gani ya mtu au ana tabia zipi, hapa watu tunashea maexperience...
  13. M

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Mkuu asante sana, wakati ule 1995 tulikuta kulikuwa na wazee fulani waliokuwa kama waangalizi tu na palikuwa na mashine zilizozeeka ambazo zilikuwa zimeletwa pale miaka mingi kwa ajili ya kuvuta maji ya kutumia wakazi wa maeneo karibu na hapo lakini zilikuwa hazifanyi kazi. Watalii kutoka upande...
  14. M

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Nitajitahidi kupata picha mbili tatu nadhani utajua siongopi, sijadandia treni kwa mbele, stori ya huyu dada inamsisimua kila mtu na kama uliwahi kufanya tukio lolote linalofanana na hilo ni lazima ulikumbuke, nadhani hapa ndio mahali pake ungetaka stori kama hizi tuzitolee wapi? kama wewe huna...
Back
Top Bottom