Ahhahahhah!! Basi na wale makuli au wabeba mizigo masokoni wanateseka sana wapigwe marufu kama vipi!!!!
Ng’ombe ana kazi kibao hata kulima pia ndio deal zake hizo wala ajawai kuja kwako kukuomba Chakula ila hakigoma kulima jua njaa itakutandika tu mjombaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.