Recent content by MFUGA MBUZI

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria Mabasi ya Ifakara–Morogoro tunafanyiwa 'Mchezo Mchafu' wa kukatishwa Tiketi na kubadilishiwa Magari baada ya kusubirishwa muda mrefu

    Msimu huu ambao abiria ni wachache, ukifika Msamvu ukakuta basi la Ifakara wanakudaka chap wanakukatia tiketi. Baada ya hapo, utasubiri saa nyingi hadi basi lijae halafu mnapelekwa Mafiga mnabadilishiwa basi; hilo mlilokatiwa tiketi lilikuwa la kutafutia abiria la basi litakalofanya safari...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Responded Shirika la Bima la Taifa (NIC) wametuunga uanachama bila hiyari yetu na hawataki kututoa

    Usiende kubembeleza halmashauri mwalimu Anzia TAKUKURU Then tafuta mwanasheria mpeleke DED mahakamani amekuibia pesa yako ya mshahara.
Back
Top Bottom