Nabii Eliya hajawahi kuitwa MUNGU WA MAJESHI kama wengi wamavyosema. iko hivi;
mfano: wewe unaitwa abdallah hassan MWINYIMVUA,, unaitwa hivyo kwa sababu wewe ni mwana wa hassan, kutoka ukoo wa mwinyi mvua.
sasa, kwa yeyote anayesoma KITABU CHA NENO LA MUNGU/ BIBLIA, atakubaliana nami kuwa...
na ndio maana mi sijakashifu la kwako, nimeliheshimu kwa kuwa ni imani yako, ajabu watu kushikia bango madhehebu ya wenzao, utazani mapapa wao huwa hawafi.
una uhakika siloamu wana biblia yao? mstari upi umefutwa? hivi huu uongo mnaopenda kujitungia ni kwa manufaa ya nani? nitajie ni mstari upi umefutwa?
pili, kilichobadilishwa na Siloamu ni kava tu, badala ya kuandika biblia, wao wanaandika KITABU CHA NENO LA MUNGU tatizo liko wapi? jifunze...
duuuuuh, si mchezo. historia ya tanzania ni paaana sana,, na ni kazi kubwa kuielewa historia na mikoa yote kwa mapana yake, aksante mtoa mada, umenisaidia kujua mengi leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.