Wakuu naomba kuuliza fuel consumption ya Subaru Forester SJ5 ya 2013 ikoje?
Napata average ya 7km/l kwenye daily routes in aevrage full tank inaenda 400km. Hii ni kawaida au kuna shida mahali? Nikiwa highway ndo atleast napata mpk 10-12km/l. Wenye uzoefu naomba ideas
Oraimo Tz wana page yao Insta, huwa wanapost range ya powerbanks walizonazo. Me nmenunua juzi ya traveller 4 pro, yenye 20000mAh kwa 95,000. Inasupport fast charging ya 20W
Sent from my SM-S918B using JamiiForums mobile app
Kuna yule mwamba mwingine yuko UK, anaitwa Mrwhosetheboss. Anajua sana aisee, yuko deep kama MKBHD. Kwangu kabla ya kununua gadget kama simu lazma nipite nione review zao kwanza.
Sent from my SM-S918B using JamiiForums mobile app
Nilinunua Macbook Pro 13" ya M1 mwaka 2021. Naitumia mpaka sasa, no regrets, battery performance same as day one. Katika laptops apple wako vizuri sana
Sent from my SM-S918B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.