Habari wadau,
Mimi ni kijana mwenzenu ambaye Nina degree lakini si ya ualimu. Nimekuwa nilifundisha somo la Physics kwa muda mrefu katika shule mbalimbali za binafsi kwa mafanikio makubwa tu kwa vidato vyote (O and A level)
Pia nimefundisha Math kwa uchache
Natafuta nafasi ya kufundisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.