Tunahitaji tafakari zaidi na hekima pia, hivi vimigogoro vinavyoanzishwa kila kukicha mara leo Spika, hoja binafsi na sasa Baraza la Mahakama. ILA TUTAFIKA SOON
Kuna watu uwezo wao wakufikiri mambo ni finyu kabisa! Kwa hiyo ukikifuta ndiyo utakuwa umemaliza tatizo? Masele wenzio ambao ujinga bado umewatawala kawaeleze UJINGA wako, wewe ni kijana wa lini ambaye bado upo kwenye usingizi zaidi ya wa Pono????
Tatizo la Watanzania wengi hawafahamu ni jambo gani la msingi la kupigania, Kuna mengi ambayo Ponda angeweza kupigania zaidi ya kuwa na malalamiko ya idadi ya Waislam! Vitu vingi ni vya ovyo ovyo lakini hawavioni ila swala la kuhesabiwa mishipa ya shingo inawasimama tuwaeleweje? Ponda sheikh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.