Recent content by mfikweme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Kupunguza risk nunua kile kipimo Cha moisture ni cheap na portable. Mahindi wanachoangali moisture kwa mahindi ya zama iwe around 14% na impurities. Mahindi yasiwe na uchafu mwingi au kuoza kwingi. Yawe mazuri kama ya sembe. Huwezi kukosa soko kuanzia misugusugu kwa mchina, kongowe kwa soudy...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Soko la Soya

    Though changamoto ya soya ya songea ni kiasi kidogo Cha mafuta nicheki tuongee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Soko la Soya

    Njoo inbox tuyajenge
Back
Top Bottom