Recent content by mfiainchi

  1. M

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Kuna watumishi wengi wa umma ambao tuhuma zao za kijinai zimesafishwa na mahakama na jamhuri imeridhika pasipo kukata rufaa lakini waajiri hawataki kuwapangia majukumu huku wakilipwa mishahara kila mwezi bila kufanya kazi kinyume kabisa na kauli mbiu ya mh Rais yahapa kazi tu.
  2. M

    TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

    RIP Sir George.
  3. M

    Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

    Hili jambo inapaswa lilaaniwe kwa nguvu zote.Haiwezekani watu kupigwa eti kisa wamepita karibu na eneo ccm wanapofanyia mkutano alafu mbaya zaidi hayo yanafanyika Mwenyekiti wa ccm taifa ikiwa yupo karibu na eneo hilo.Ninaimani mh mwenyekiti wa ccm taifa atalikemea vikali swala hili vinginevyo...
  4. M

    Tundu Lissu amjibu Magufuli juu ya yeye kugombea TLS

    Hakuna ubaya kwa Lissu kugombea nafasi hiyo kwani SHERIA iliyoanzisha TLS haimnyimi sifa kufanya hi yo.
  5. M

    Tundu Lissu aianza rasmi safari yake kuelekea urais wa TLS

    Sipati picha siku ya sheria hotuba ya Tundu Lissu itakavyowachana watu ukweli nahisi mgeni rasmi atakuwa hajiamini siku hiyo na anaweza kutuma mwakilishi ili akwepe kukutana na ukweli Juu ya utawala wa sheria.
  6. M

    Tundu Lissu aianza rasmi safari yake kuelekea urais wa TLS

    Songa mbele Lissu tunataka kurejesha utawala wa sheria katika inchi hii.Haiwezekani mahakama inawaona mahakimu waliotuhumiwa hawana hatia na Jamhuri inaridhika pasipo kukata rufaa alafu mtu anapata ushauri sijui kutoka kwa mkewe anasema wafutwe kazi.Huku akijua kuwa ni kinyume name katiba ya...
  7. M

    Zitto Kabwe: Ni dikteta gani duniani aliwahi kufuta Bar Association?!!

    Dr. Mwakyembe ananikumbusha ili misemo ya mitaani kuwa kuwa waziri wa ulinzi sio lazima uwe umepitia mgambo.Sasa kumbe wizara ya katiba na sheria sio lazima iongozwe na Mwanasheria kwakuwa ajayoysfanya Mwakyembe mengi hayana msingi wowote wa kisheria.Mengi anayofanya ni kinyume na katiba na...
  8. M

    Rais Magufuli, kushinda kesi mahakamani si lazima!

    Kwanini serikali haikukata rufaa dhidi ya ushindi huo mpaka hata mahakama ya rufaa?Kesi ni ushahidi na sio maneno kama wanavyofioiria na kuwa hakimu hakumfanyi mtu ashindwe kujitetea pale anapokabiliwa na tuhuma.Mbona huyo Waziri wa katiba na sheria yeye alituhumiwa na wabunge kuwa alinunaua...
  9. M

    Rais Magufuli, kushinda kesi mahakamani si lazima!

    Inchi hii ninaamini inaongozwa kwa kufuata misingi ya katiba, sheria na kanuni.Tutaacha kuamini hivyo endàpo mabadiliko ya katiba, sheria na kanuni yafanyika.Ibara ya 107A(1) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977 ambayo viongozi wote wameapa kuilinda akiwemo Rais Magufuli na Dr...
Back
Top Bottom