MIMI NI MUHITIMU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI KOZI YA SECRETARIAL IMENICHUKUA ZAIDI YA MWEZI KUPATA MATOKEO KILA UNAPOENDA MAJIBU UNAYOPEWA NI YA LUGHA CHAFU MPAKA UNAJIULIZA HAWA KWELI NI WATUMISHI WA UMMA? KAZI WALIIOMBA WAKAPEWA KUIFANYA HAWATAKI JIREKEBISHENI BWANA KUPATA MAJIBU NI...
Sina uhakika kama maada hii ingeandikwa kama mwandishi asingefukuzwa uanachama. Watanzania tujenge tabia ya kuongea ukweli kila wakati sio tu pale tunapotibuana na watu au vyama kwani unapoongea baada ya kufukuzwa au kugombana na mtu ni vigumu sana watu kukubaliana na kile unachoongea hata kama...
Serikali imeruhusu wanafunzi waliofeli mtihani wa kidato cha pili kuendelea na kidato cha tatu. Hii mnaionaje wadau?hivi elimu yetu inaelekea wapi? serikari inataka kumfurahisha nani? au ndio muendelezo wa ule usemi wa mwanafalsafa mmoja aliyesema ukitaka kumtawala mtu basi mnyime elimu? Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.