Recent content by Mfalme Akili

  1. Mfalme Akili

    Amenitamkia kua simridhishi sababu nina kibamia!

    Jiamini tu kijana, hakuna njia ya kuongeza uume! jikubali afu ujifunze jinsi ya kutumia kidogo ulichonacho kukidhi haja za mpenzi wako
  2. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Nashukuru wote mlionipa ushauri, sasa naweza kufanya uamuzi sahihi. Mbarikiwe sana
  3. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Sina mtazamo huo, sababu natoa kama navyotoa kumsaidia mtu yeyote mwenye uhitaji wa kile ninachoweza kumsaidia.
  4. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Nitalifanyia kazi hilo, asante kwa ushauri.
  5. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Duh! mkuu maisha yangu watu wengi wamechangia kunisaidia mpaka nimefanikiwa kimaisha, na mimi namsaidia mtu yeyote kwa kadri ya uwezo wangu paspo kuangalia jinsia, dini wala kabila.
  6. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    kweli ndugu, nitakaza roho nitakata kamba
  7. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Kumpotezea nimejaribu ila ni msumbufu sana kwenye simu, mara nyingi huniambia shida kuhusu mtoto wake, huruma huniingia kumsaidia mtoto. Yan kuachana nae ni labda nibadili contacts kabisa
  8. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Umenena kweli ndugu
  9. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Kabisa! asante kwa ushauri
  10. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Poa mkuu, thanks kwa ushauri
  11. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi
  12. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Nop kupajua home, sijafanya kosa hilo.. niligoma kumpeleka kwangu. Roho yangu inakua nzito sana kumtafuna its like Mungu ananipa onyo fulani
  13. Mfalme Akili

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Umeona eh, watu wengine tumesaidiwa sana na tumepitia maisha magumu hivyo mtu akiwa na tatizo moyo unakusuta usipomsaidia, lakini mtu anapotumia hiyo kama advantage is not fair kabisa.
Back
Top Bottom