Recent content by mezzomix

  1. mezzomix

    JamiiForums Tanzania Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

    Nadhani muonekano wa treni hutegemea imeundwa itembee kwa spidi gani. Mfano hapa Ujerumani kuna treni zinaitwa ICE ( Intercity Express ) ambazo zinatembea mpaka spidi 300km/h. Pia kuna Regional Trains ( RE , RB, S-Bahn ) ambazo hutembea kati ya spidi 80km/hr - 150km/hr. Intercity Express (ICE)...
  2. mezzomix

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalam wa kuandika script au Automation Desktop

    Nilishawahi kufanya automation inayokaribia kufanana na yako. Ilikuwa simple desktop program ambayo unaipa excel file, inasoma values zake, kisha inazijaza kwenye software ya 3D modelling (Catia). Nilitumia Python. Nakumbuka package zake mbili Tkinter na PyAutoGUI. Wazo langu kwako, kama tayari...
Back
Top Bottom