Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama kwa matumizi.
Wazazi pamoja na Walimu wa skuli hiyo wamekuwa wakilalamikia juu ubovu wa madarasa ya...
Huku kwetu mitaa ya Kwerekwe Makaburini kuna mistari ambayo inatumika kuruhusu Watu kuvuka Barabarani maarufu kwa jina la Zebra.
Hapo nazungumzia barabara ya kubwa ya kwenda Fuoni, lakini cha ajabu madereva wengi hawasimamii Sheria za barabarani ikiwemo kutozingatia matumzi ya Zebra hizo...
Suala la uongozi ni hakiya raia wote na sio kwa wanaumme pekeo .
Kwani Haki ya uongozi imetajwa katika Kifungu cha 21 (3) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kinasema kila Mzanzibari anayohaki ya kushika nafasi yoyote ya kazi na shughuli yoyote iliyoko chini ya Mamlaka ya...
Nimewahi kugombea mara moja tu ila kila nikifiria kurudi tena jimboni narudinyuma, kwani sina uwezo kifedha.
Simulizi ya Fatma Shaaban Mohamed (51), mkaazi wa Kiuyu Minungwini Wilaya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, inatuonesha ukata wa fedha unavyomkatisha tamaa kuingia tena jimboni katika...
Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.
Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja unarufi dakika moja unakata, mtatuunguzia vitu bhana.
Sasa imagine tangu saa kumi mpaka sasahivi umeme...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia mikataba mbali mbali ya Kikanda na Kimataifa ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya Wanawake, kama mkataba wa Cedaw ambao umeanzishwa mwaka 1987 na kuheshimu haki za Wanawake kama Haki za Binaadamu.
Licha ya kuwa Katiba ya nchi inatambua haki za raia...
Pili Said Mohamed, ni Diwani wa Wadi ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, simulizi yake katika harakati za uongozi inaonesha historia ya kipekee katika safari za Wanawake wengi wenye ndoto za uongozi visiwani Unguja.
Pili ambaye alianza harakati za Siasa Mwaka 2020 akiwa Mwanachama hai...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College ambacho kipo Ipuli, hapa chuoni kwetu pamoja na mitaa ya karibu na hapa kuna kundi la Vijana wanaojiita Mabamzi ambao ukikutana nao barabarani hasa majina ya usiku au jioni badi tambua kazi ipo.
Hawa vijana wamekuwa wakipiga watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.