Recent content by MeToo

  1. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo misenyi~kagera nije same au morogoro vijijin idara sekondari.
  2. M

    Nifanyaje niweze kupenda tena?

    kwa sasa nimetulia kama maji kwa mtungi nami naogopa hayo maradhi mkuu and thank you kwa ushauri wako.
  3. M

    Nifanyaje niweze kupenda tena?

    mimi ni kijana wa kiume hapo nyuma nishawahi kumpenda binti mmoja kupita maelezo nikiwa kidato cha sita mwishoni, aliniacha bila sababu za msingi since then sijawahi kupenda kiukweli, naishia kuumizana tu na wasichana but honestly natamani kumpenda mmoja tena ila cjui inakuwaje hv kuna jinsi...
Back
Top Bottom