Hizi ajira ni kizungumkutiiii wakuuu kikubwa muombe sana mungu na kupambana haswaaa......kingine maisha sio lazima yawe kwenye vyombo vya ulinziiiii tu maishaaa ni popote na kupambana na kuishiii kwa nidhamu....mpk sasa kitaa nishatoboa 4 years
Nipo zangu road kwenye mihangaiko nawaona private vijana na mabegi yao na sare zao......nahisi wapo kwenye zoeziiii la ramani maana naona wanaozunguka zunguka tu kutafuta kitu ama vitu.......
Sasa kama PT wa kikosi tu kaona mzigo wa moto akarudi....alafu wanyabi wengine sio PT wala nini na wakatoboa.....yaaani kila kitu kinawezekana....mungu ndio kila kitu
Unanikumbusha kipindi npo jakata kuna pt mmoja aliendaga komandoo na mwamba mmoja hv anabodi la mazoezi vzr na wengine wawili wembamba.....lkn kilichokuja kutokea baada ya kama week kadhaaa hv wakarudi...yule mwamba mwenye bodi zuri akawa anachechemea, yule pt nae alirudi
Kuna mwamba mmoja hvo hvo aliingia kihangaiko akaonekana unfit alivyorud mzee wake akaenda lugalo pale kumpima akaonekana yupo vzr tu kiafya na utimamu wa mwili..mzee wake akamaind akawapgia smu na kuuliza kwann karudishwa kijana wake na wakt yupo vzr hana tatzo lolote, wakajitetea kusema...
Lkn sio kitaaa unaboda boda yako baada ya kupata nafasi kuingia kihangaiko...unauza alafu mwisho wa siku ndio unakuja kuonekana unfit....urudi om uanze upya yaaan sio poa aseee.....umakini unahitajika
Inaumiza sana.....hususani ndio umetokea jakata....lkn kwa wale waliokuwa kitaaa umakini unahitaji kama kuna mambo yako kitaa yalikuwa yamekaa sawa usiwakache maana huwezi jua , kama utatoboa fresh ila kama ngoma ngumu unarudi zako kitaa unaendelea na misje zako ulizoacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.