Recent content by messi msengi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda anaweza kukukosea bila kuomba msamaha?

    mspendane kwa sababu kila mtu ana hisia tumia hisia zako kwa yule mpendae kwa dhati na ummoneshe mapenzi ni nini kwani mapenzi ni dhamira ya kweli ndugu yangu jua ivo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda anaweza kukukosea bila kuomba msamaha?

    hivi kama umpendi mtu hutakiwi kuwa mbabaishaji kwani sio vizur halafu nyie mwanawake mkome kutuzingua mapenzi ni kupendana sio kuzinguana pia mpende mtu kutoka moyon ila usimpende mtu kwa sababu eti ana nyumba.gari cheo au anakusaidia mambo fulani bali hayo cio mapenzi but love something...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili umri sahihi wa kuoa/kuolewa

    jamani nauliza swali hvi mtu mzuri anatakiwa awe na sifa gani naomba majibu wanajamii my status iz effort never dies
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili umri sahihi wa kuoa/kuolewa

    no thanks kwamba unapokuwa matured enough sina maana kwamba utakuwa umefka wakati wa kuolewa au kuoa unapofka wakati kama ujua namna ya kupambana na maisha kitu kinachoniuma vijana wa sasa wanaoana wadogo sana most f them wanakuwa hawajui life challenges kitu kinachotugalima ni tamaa za ngono...
Back
Top Bottom