Recent content by Meseh

  1. M

    Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Yani wewe Kama mm nihuzuni kwa kweli
  2. M

    NCHI NGUMU HII

    TIC wanaitaji watu watano Ila tumeitwa watu 1900 kwenye usaili yaini kiufupi kila nafasi moja inagombaniwa na watu 390+
  3. M

    Usaili TRA ni lini?

    Nyie wajuba mshaanza kusoma mi nasubilia hadi nione jina
  4. M

    Kudarizii embroidery printing

    asante Kwa ushauri mkuu
  5. M

    Kudarizii embroidery printing

    Tunadarizi mashati, ma t-shirt Kwa bei ya ofa 14000 unapata t-shirt ikiwa imebadiziwa vizuri popote ulipo Kwa mawasiliano 0774214255
  6. M

    market and sales specialist

    Habari za mda huu wakuu. Natafuta kazi ya sales and marketing Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye iyo sector Nauwezo mkubwa wa kuongeza mauzo na soko kiujumla. Let win the market together 0774214255
Back
Top Bottom