Recent content by Mersen

  1. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinapatikana Nzuguni Dodoma

    Habari wakuu nimerudi tena nauza viwanja vinne 4 eneo ni Nzuguni unapojengwa uwanja wa mpya wa mpira.kwa wale niliowai kuwauzia wanapajua vizuri Huduma zote zipo Umeme, maji , barabara lami ukubwa tofauti tofauti 774, sqm 427, sqm 618, sqm 651 sqm. BEI ni kuanzia million 5 ,6,8 adi 14...
  2. Mersen

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota coaster 1HDT FTE 38,000,000

    Mimi nikipata engine 1hz ntafurahi
  3. Mersen

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria tunapata usumbufu mkubwa daladala Dodoma kukatisha ruti na kufaulisha abiria, mamlaka dhibiti kero hii

    We bwana sio mpanda dala dala hata nauli haujui kua ni 600 saiv
  4. Mersen

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala Dodoma zinarubuni abiria kuhusu ruti na kutelekeza abiria

    Inaonekana ni mgeni Dodoma ruti ya st gema gar inapita mipango na inasimama kabisa.Hyo kushuka General hospital ni madhaifu ya LATRA wenyew kulazimisha stendi ya machinga ili kuchangamsha soko gari ya nkuhungu ikiishia machinga abiria mjini wataendaje,hvo hvo kwa mipango waoneeni huruma na hao...
  5. Mersen

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mahindi

    Mimi nina alizeti gunia 100 natafuta mteja
  6. Mersen

    JamiiForums Tanzania Bei ya Ng'ombe wa Maziwa

    Sija experience lakin kitaalam lazima utoaji Wa Maziwa utapungua
  7. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Nzuguni A eneo ukiwa nzuguni secondary unaviona Viwanja vimebaki kadhaa
  8. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Nimeweka mkuu ni 10,000 per square meter
  9. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Nauza Viwanja vitano vipo eneo moja vimepimwa full documents. Vipo Nzuguni karibu na Barabara ukubwa kuna 1583, 1603 ,1133 square meters pia kuna 799 na 727 square meters bei ni 10,000 kwa square meter contact 0745607993
  10. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    ni kweli mkuu watu wanashawishi sana nimeamua niwaachie wenye uwezo.
  11. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Nashukuru mkuu kwa wema na Maelezo yaliokamilika nakaribisha maongezi pia
  12. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Karibu boss Nzuguni-Dodoma Kiwanja kipo centre kabisa na umiliki ni hati kubwa ondoa shaka
  13. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Boss sorry ckua hewani ila ni hectares 3.1 au hekari 7.7 au square meter zisizopungua elfu 31 na point.
  14. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Ni Hectare mkuu ukiicovert ni hekar 7.7
  15. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Hapana boss ni calculation tu eneo ni hekari 7.7 bei ya jumla pia tunaongea
Back
Top Bottom