Recent content by merrygmx

  1. merrygmx

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Dada Shikamoo,nimekutumia ujumbe lakin haufanikiwi Natanguliza samahan Ila mahitaji msaada wako kama tunaeza wasiliana mana najua huku sio mda Asanteee
  2. merrygmx

    Dream League Soccer Special Thread

    Jaman me msaada dis kweny iPhone siipatiii msaada please
  3. merrygmx

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Jamii forum ukiingia sana kama huna ata Mia ya mtaji asee utachakachua tu akili mawazo shuhuda zipo kibao yaan humu unaeza adi badili wazo la biashara kutokana na mawazo ya ma legendary walotutangulia humu jamii forum mbarikiwe sana sana sisi vijana wadogo Wendell 21 years tunaona Chagall jamii...
  4. merrygmx

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Kabisa msaada jamani na wanapouza Mikoba handbags za kina dada aina tofauti tofauti pamoja na belts za nje zakina dada na Accessories kwa bei ya jumla na nzuri Heleni vikuku cheni na mikufu blaclet pamoja na viatu mchanganyiko hills na slippers nzur zinazo trend kwa bei nzuri ya jumla yaan bei...
Back
Top Bottom