Recent content by Merak

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hio ni lonja ama mbona unatukatisha Tamaa mkuu mbona nasikia zinakuja tena mwakani polisi uhamiaj hata enzi za kikwete zilikua hivo kwa mkupuo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sahihi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu hiv nikiwek 2 million ntakosa mbanga kweli😂😂
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Zinakuja tena amaa??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kama ni polisi uhamiaji na jwtz
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu tupeni ronja za mwakani tutayarishe mbanga
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto zimekuwa na nafasi muhimu katika maisha ya watu. Njoo nikutafsirie ndoto yako

    Wakuu nisaidien mm nna tatzo hili nikiota ndoto kuna baadhi ya vitu hutokea au nikiota nimeongea na mtu bas mtu huyo sku ya pili huongea nae hata kama kwa kunitext wakuu hii inaitwaje??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Dahhh hivi ndio kuna dalil ya kuja intake nyengin huko??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi polisi wameshaanza mafunzo wakuu??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Na yy alikuja kutuma maombi kaka??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ingawa ni ngumu kupata
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Naona mama anamwaga ajira tu ktk vyombo vya ulinzi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jiripue kaka mbona watu wanaomb hivo hivo na wanatoboa ila ndo uwe na referee
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Moshi vip uko nao wameanza??
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mm nahis ni tpdf PT hata course hawajaaza au wameshafungua na kwa pt labda mwakan ila mwak huu hicho kitu hakiwezekan
Back
Top Bottom