Samahani!!! Nimefeli advance PCM Nimepata DEE nimeioenda kozi ya BIOMEDICAL ENGINEERING But nimekata tamaa ya kusoma tena!
nipo katika hatua za mwisho katika kufanya maamuzi hasa nikihisi nitapoteza muda kusoma kitu ambacho sina hata connection!!
Maana nshakatishwa tamaa wenzangu wanaenda Degree...
Ishatokea hata mimi sikutarajia yaje hivo sina wa kumlaumu Kikubwa najiamini na Akili angu .
By the way !! Niwaachie wengine wenda Riziki yangu haipo huko "FULL [emoji275] STOP".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.