Recent content by MENO MEUSI

  1. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    [emoji23][emoji23][emoji23] very true bob don't trust such kind of pia hawanaga humanity to the society kabisa... Anakunyima hata maji ya kunywa na uko na Hali mbayaa balaaa
  2. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo ila Pongezi kwa Misikiti mingi ya Dar es Salaam kutoa Bure na kwa Bei nafuu Huduma ya Maji

    Makosa binafsi.. Islam kma dini iko mbele sana katika Haki... Nimewahi kuumizwa na muislam mwenzangu... Ilaa niliangalia nikagundua.. kosa si ISLAM KAMA DINI.. Ila makosa ya mtu binafsi. Nilisamehe
  3. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Kwa hii mibinuko wake zetu watapona kweli kwenye hizo gym?

    Bwana wee.. ni balaa
  4. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi kwenye mabasi makubwa ya Mikoani

    Sio KIAZI KITAMU
  5. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Siachi kutoa tip tangu nipitie kipindi kigumu

    Bora mvuta fegi kuna unawapa tip kwa jinsi MUNGU amekugusa Ila yeye anaidharau mpaka unaona nimempa ya Nini huyu boya asiyejua thamani ya "UTU'' au thamani " PESA"
  6. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

    Mrudishie hiyo pesa, mpe onyo kutokana na kosa lake, next time mkumbushe kosa mpige fine, madereva wengi hususani wa biashara wanapita Zilezile karibu mwaka mzima mnawafahamu. Lakini sio kumuona kma mhalifu. Dereva unamuona trafiki unaogopa kma umeshajua hukumu Yako.[emoji24][emoji24]. Wengi...
  7. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta wine iitwayo " Pinot Noir" Dar nzima nimekosa.

    Dar kuna tabu moja.. kuna vitu vilipaswa patikana hapa kwa wepesi sana.. Ila sasa sijui tabu Nini ... Kma huna pesa ya gharama ... Utaishia mikononi mwa local +++ hutaamini . Kila kitu hapa kimcwekwa kma ufahari na si huduma[emoji3][emoji3] dalili za ;- ushamba..ulimbukeni... Ufahari... Hata...
  8. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi yote ya mikoani yana tabia hii?

    Magari mengi hawana tabia ya kuangalia namna Bora ya kuburudisha ... Ila wao huangalia Nini wao( staff) wanataka.. wakati wao sio wateja... Na wateja tunawekwa kundi la wasio na sauti.. wakati ndio Mimi source ya company income toward their salary etc... MUNGU akinipa mtaji hili soko litapata...
  9. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

    Ok. 1.mwl. Nyerere 2.Gaddaf 3.magufuli 4.kikwete 1.bob Marley 2.joseph hill (culture) 3.luck dube 3. Mbowe 1.pro jay 2.sugu 3.2pac A Shakur 4.koffi Olomide 1.baba yangu & his wife 2. Mke wangu 3.watoto wangu 4.MIMI Oyaa man watu muhimu ni wengi mpaka roho inauma man
  10. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Nilipambana na panya road nikawagalagaza wakatokomea

    Ndgu dar kuna tatizo sana... Hawa watu hawana nguvu hasa ya mwili.. battle performance pia dhaifu... Ila visasi .. maneno mengi na. Ukiwazidi kukimbilia police ili uwalipe.. ndio zao.
  11. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

    Mimi hapa... Ila nilicheka style Yao... Mimi jua lilikuwa limenichoma mpaka naona kma nazimia... Ghfla naona napewa juice ya muwa katikati ya watu... Nikaikata pap... Maana kma jamaa alikuwa anajua nime exhaust haswa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  12. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Ukiwa una pesa Tanzania, hakikisha wafuatao...HAWAJUI

    MUNGU ni mwema... Huuu ubahili utaniua Ila kumbe unanijenga sana[emoji3][emoji3][emoji3]
  13. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Kuhusu Hali za makazi na mazingira yetu kwa usalama wetu bila kusubiri Hawa strangers ni vema kuzingatia usafi wa mazingira na fumigation za mara kwa mara...
  14. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Samahani ni "black" not brak
  15. MENO MEUSI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Dawa zipo ant- venom n.k kitaalam tatizo first aid... Na pia muda wa kufika hospital... Sasa dk kumi tayari unaweza potea...[emoji35][emoji2959]
Back
Top Bottom