Recent content by menna peter

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Walioitwa interview DSS Central Dodoma kesho naomba tujuane tafadhali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hii mbona ni zimamoto kama
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Iliyopita ilikua ngapi mkuu idadi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu habari! Mwenye kujua Police wametoa nafasi ngapi atujuze mana kwa uhamiaji wametangaza 500!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Issue ni wakati wa kutuma...Je unatuma separate nkiwa na maana attachment zinakua mbili kiambatanisho B pamoja na barua na vyeti ama lah?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mimi Nahitaji kufahamu tu kwa wale wenye shahada na kuendelea jinsi ya kutuma maombi Inakuaje? Je hio kiambatanisho B ambayo ni excel sheet tunatuma kama ilivyo au tunascan pamoja na barua ya maombi na viambatanisho vingine Pili,hawa wa shahada na wao inawapasa waende kwa wakuu wa polisi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hili swala la CV umelitoa wapi kaka mbona Kwenye viambatanisho hawajaorodhesha au wamesema wanataka watu wenye experience katika jeshi la polisi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu mtu ambae mpaka sasa ameshakamilisha maombi na kutuma Nahitaji msaada PM tafadhali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Ipo kuna jamaa aliweka watu wanajoin lakini hakuna kinachoendelea
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Harafu alotengeneza hata hayupo active au haoni hili mana Mwenyewe nakutana na hicho pia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Hata mimi mkuu nimejoin lakini sioni kitu chochote kinachoendelea wala siwezi kuchangia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Nenda ukajionee Mwenyewe huko na kujipambania
  13. M

    JamiiForums Tanzania Call for Interview ya PCCB Majanga

    Kudesa kupo Kwenye kila Jambo wakati ukijiandaa lazima uwe na shahuku kua kuna moja na mbili ya uwelekeo wa maswali,sasa utajiandaa Vipi hata hujui unatakiwa upitie wapi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Sehemu ya kucertify ilikuwepo na hata bila kuambiwa kazi za serikali lazima ucitify vyeti unapotuma maombi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Bado mkuu
Back
Top Bottom