Recent content by Men at work

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sindano hii Chungu ila ina dawa inayotibu iwafikieni popote pale Wanawake na Wanaume

    Duh!!! Kweli jamaa anastahili kua na wake wengi, mjadala una wanawake watano mwanaume mwenyewe na amewatuliza wote Kwa majibu yake, wengine kubishana na mwanamke mmoja tu ni Kazi😄😄😅
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Kumbe alikua mchumi, binafsi sioni kama elimu yake kwenye uchumi na nafasi nyeti aliyokua nayo imekua na mchango mkubwa Kwa taifa, Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpe, alifanya makubwa Kwa taifa ila kwenye uchumi taasisi yake imefeli pakubwa sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania CDF Mkunda apongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya ya JWTZ kwa kuanzisha mradi wa kokoto

    Kokoto!! Kokoto!! Nauliza mara kumi.... Ni hizi hizi kokoto wanazopasua akina mama Kwa mkono? Nadhani wametumia lugha ya Siri kusema kokoto may be ni watakua wanatengeneza mabomu kumficha adui wakasema kokoto😅
  4. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Sijui kama TISS mnaona. Kunaweza kufumuka mgogoro mkubwa kati ya wafanyabiashara wazawa na wachina siku sio nyingi

    Taifa linaangamia, hakuna wa kuonya Wala kusema, Leo hii Kila duka la Mangi mtaani Kuna mashine za kichina za KAMARI vijana kutwa wanashinda wakicheza KAMARI.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni Nani aliyeiloga Tanzania? Kwani tumemkosea nini Mungu?

    Ndugu zangu Watanzania, Kila mmoja wetu atumie muda kujiuliza hili swali, Kwan Watanzania tumemkosea nn Mungu? Au tuna laana? Mbona hakuna tunachokiweza? Tunashindwa kuendesha hata mradi mmoja tu wa SGR mapema hivi? Tumeshaanza blah blah Mara sijui engine za diesel. Iko wapi nafasi ya usalama...
Back
Top Bottom