Recent content by Member71

  1. Member71

    Tofauti ya majeshi yetu yana maoni gani juu ya utofauti wa sare

    Maana yangu ni kuipa heshima vazi la majeshi mengine sijamaanisha kuwa vazi la majeshi yetu ya wizara ya mambo ya ndani ni mabaya hapana, na sijaamaanisha wavae sare za jwtz maoni yangu ni kuwa wangetengenezewa combat zao tofauti na za jeshi la wanainchi
  2. Member71

    Tofauti ya majeshi yetu yana maoni gani juu ya utofauti wa sare

    Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
  3. Member71

    Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Kiukweli kifo ni jambo linaloweza kudhibitiwa kbsa kwasbb hata kwenye vitabu vya dini kuna maandiko ya uzima wa milele. Hivyo tusitegemee huo uzima wa milele utaletwa na na kushushwa na Mungu kama mvua ila kitakachofanyika ni kumtumia binadamu kuuleta huo uzima wa milele kwasbb God ni nishat...
Back
Top Bottom