Recent content by memael

  1. memael

    USA vs Russia: War in Ukraine

    Aiseeeeeeeeeeeeeeeeee Russia Ni kiboko
  2. memael

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Aisee tuseme ukweli urusi ndyo dume anaweza pigama na nchi kubwa zaidi ya 30wakati vikwazo kibao amewekewa na bado anamudu
  3. memael

    Nani mwoga kati ya Russia na NATO yenye nchi kama 30?

    Ni kweli Tena kweli USA NATO dhaifu Sana mbele ya taifa imara ROSH(RUSSIA)
  4. memael

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwenye Vita huwezi kumwambia adui atoe raia na pia anakujulisha kuwa naenda kupiga sehemu Fulani Kama unatoa taarifa jua kuwa hiyo Ni operation Ila Vita Ni kupiga adui bila kuchagua nipige wapi na akina nani
  5. memael

    Vita vya Ukraine: Bei ya petrol na diesel UK yapaa hadi Tsh 5000 kwa lita

    Hayo ndyo maneno unajidai kumkomoa mwenzako kwa kumwekea vikwazo kumbe vikwazo hivo ginakuumiza ndyo maguarib na Russia
  6. memael

    Haya Urusi anafanya Ukraine na kwa NATO, Basi Putin ndye baba wa USA na dunia

    Hacha matani kwenye hii Vita hakuna misaada ya silaha ndogondogo ndyo uwezo wao umefikia hapo
  7. memael

    Haya Urusi anafanya Ukraine na kwa NATO, Basi Putin ndye baba wa USA na dunia

    We huoni USA NATO wanapeleke salaha nyingi ya kupigana Vita huko ukrain au huko ukrain wanapigana kwa kutumia ngumi?
  8. memael

    Haya Urusi anafanya Ukraine na kwa NATO, Basi Putin ndye baba wa USA na dunia

    Mpaka Sasa USA na NATO na wafuasi wao wameshindwa vibaya na Russia. Nasema hivo kwasababu silaha kubwa ambao USA, NATO walitegemea vikwazo kwa Russia Ila mpaka Sasa USA, NATO na dunia kwa ujumla wanalia kwa hivyo vikwazo. Sasa huoni Kama hiyo silaha wanajipiga wao wenyewe? Mpaka Sasa Ukraine...
  9. memael

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia
  10. memael

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanajeshi wa miguu ndyo wanakaribia Kiev ingawa vifaru ndani ya Kiev
  11. memael

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanajamii tuanomba tupate update sahihi Vita ya Russia na Ukraine mji mkuu Kiev. Mnakaribishwa
  12. memael

    Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

    Sio kweli Ukraine no chi kubwa eneo Kama laki sita wakati Irak Kama laki nne
  13. memael

    Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

    Ukraine eneo laki sita na something wakati Irak Ni laki nne na something Hacha kusema uongo
Back
Top Bottom