Recent content by Melah

  1. M

    Crazy things you did in secondary school

    Ah! Azaboy, ubabe ubabe nlikutana na konda mbavu nkaipandishia kibezi af na mwili mdogooo, konda akatupa ngumi nkakwepa nikazama mfukoni nkatoka na buk10 nkaichana chana, kuna mjeda pembeni kanidaka "unachana pesa?" Kantia bonge la kofi dah nlichoropoka mbioooooo dadadekiiii...
Back
Top Bottom