Recent content by Meja M

  1. Meja M

    Nashindwa kulielewa hili gari

    hii unayosema ni kweli hata mimi iliwahi nisumbua ila kuna jamaa Mbeya akarekebisha sensa hadi leo inapiga safari fresh kabsa nafanya tu service ya oil basi
  2. Meja M

    Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil

    Ni ya mwaka 2005 , nimebadili oil mwez ulioisha mkuu
  3. Meja M

    Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil

    Gari inanguvu fresh kabsa na inatoa moshi wa kawaida mkuu, ni bmw 3 series
  4. Meja M

    Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil

    Habari za wakati huu wakuu! Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil mfano kwa wiki tatu unaweza kuongeza oil mara moja na hakuna leakage yoyote. Na nini kifanyike ili kuzuia tatizo hili?
  5. Meja M

    Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

    nakuunga mkono mbeya ni kamji kaajabu sana bora Iringa pamekaa poa.. Dodoma imetulia bana huezi ilinganisha na Mbeya jiji limejaa bajaj tu
  6. Meja M

    Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

    Mbeya ni pa hovyo sijapata kuona, mji umejaa bajaj zaidi hata ya watu, ukienda mjini kule pako hovyo hapafai. Walikurupuka kupapatia hadhi ya jiji..
  7. Meja M

    Gari yangu inaoverheat ikiwa kwenye foleni au low speed

    hii hata mi imenifanya nistuke aisee , sasa unatoa thermostat hapo nin kitaregulate engine temp, huyu fundi atakua hajui kitu
  8. Meja M

    Naomba ufafanuzi kuhusu hiliu joto la engine ya gari

    kuna gari kama bmw 3 series ya 2005 haina kabsa temperature gauge mkuu, wala haina hicho kitaa cha blue ili kupata temp yake lazima uaunlock code za temp ndo unaweza ona temp yake
  9. Meja M

    Naomba ufafanuzi kuhusu hiliu joto la engine ya gari

    Wataalam habari za wakati huu! Poleni na majuku yenu ya kila siku. Naomba kujuzwa je ni sahihi joto la engine ya gari kuwa 108 degree centigrade then linashuka hadi 106 hapo nikiwa naendesha sasa naombeni kujua kama hili joto ni kawaida au kuna shida mahala. ASANTE
  10. Meja M

    Gereji gani nzuri mbeya kwa service ya magari ya Ulaya

    Pale kuna garage inaitwa Evolution nadhan ndo hii unaisema mkuu
  11. Meja M

    Gereji gani nzuri mbeya kwa service ya magari ya Ulaya

    Wakuu hanarini za asubuhi, natumai mmeamka salama. Naomba kujuzwa nahitaji kufanya service ya kawaida kwa gari ya ulaya, gereji gani nzuri Mbeya yenye utaalam wa gari hizi? Asanteni.
Back
Top Bottom