Mudy nimekushauri utoe namba ya mtambo, au mawasiliano hautaki kutoa taarifa kabisa.wala ushirikiano.
Kama hizi taarifa ni kweli ungetoa ushirikiano usaidiwe.
Kampuni ina nia ya kukusaidia.
Pole sana mudy.. mitambo ya Mobisol in waranty ya miaka mitatu hadi minne. Kwa kipindi chote hicho unapewa huduma bure bila kulipia chochote. Ikiwemo kubadilishiwa kifaa. Utafikiwa ndani muda mfupi.
Unapopatwa na tatizo ukitujulisha, unafikiwa kwa wakati.
Tunaomba ututumie namba ya mtambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.