mizigo ilikuwa mingi lakini iliyolipiwa ushuru ilikuwa michache hivyo uwingi wa mizigo enzi hizo haukuendana na uhalisia wa ukusanyaji wa mapato ndo maana makusanyo hayajashuka mpaka leo baada ya kuwepo kwa udhibiti wa mapato
Mie nadhani raisi ameona Uraisi ni mzigo kutoka na changamoto nyingi zilizopo na kuwa na nia ya dhati ya kuzitatua angekuwa hana nia ya dhati ya kuzitatua asingeona kuwa ni mzigo. Chukulia Mfano ukiwa baba nyumbani na ukawa na tabia ya kuhandle majukumu ya kifamilia vizuri ni dhahiri utaona na...
Atakamatweje hana kosa hivi hainingilii akilini hapa nilipo polisi waje wanikamate bila kosa ni ngumu. wanzibar wenzangu hii nchi ni yetu sote tuipende n.a. nimeamini kweli anayevunja nchi ni mwananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.