Recent content by MegaJackpot

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

    Kwa wanaokataa kuoa nawaelewa sana. Kizazi hiki vijana wengi hawaheshimu ndoa zao kabisa, wake za watu wanaliwa bila uoga. Wanaume nao wanatoka sana nje ya ndoa zao bila wasiwasi wowote. Ni kazeze kwakweli.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nawezaje kuweka salio 1xbet?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    https://t.me/MastermindInplays Link hiyo kuna mwamba anapost codes za inplay both 1xbet na sportybet. Kila sekunde unakula. Mfateni, mmalize kelele za Kanji hivi Kanji vile.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bora kapata hiyo kuliko angeishi kwa wasiwasi. Kikubwa ni kuapata hela aseeh 😃
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niliwapa West Ham wapate goli moja na wamenipambania mapema sana nafunga hesabu. Nitoe hela yangu faida naifanya kuwa mtaji sasa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Manchester anaweza kuwa mchawi ila ngoja uone hadi mwisho itakuwaje.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man city keshatoa, bado Liver na AC Milan kamari iishe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu Salernitana kumbe hakumkazia Napoli kwa bahati mbaya last week. Naona Fiorentina nae anapelekwa puta huko 😂
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii code naifatilia kwa ukaribu naona kama moto wa nyuka. Inakula nyasi kwa kasi sana mzee.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    MLT1P - 1XBET Hizi code pale 1xbet unaziwekaje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kunaweza kukafanyika utaratibu wa kupatikana odds nne tu maafisa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game imeisha kashinda moja.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shakhtar hataki kuongeza goli sio
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na Ac Milan wamechomoa. Yani wametuweka roho juu muda wote kumbe kufunga wanajua wapuuzi hawa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tammy Abraham mwokozi. Mikeka miwili nimejikuta yupo Roma na yote wana over 0.5 Hapa nilikuwa sina amani.
Back
Top Bottom