Recent content by Megabytes

  1. Megabytes

    Mwenyekiti wa CCM wa Jimbo la Iramba Magharibi na Msaidizi wa Mwigulu kuhamia CHADEMA!?

    Huyo yuko contaminated ni muhimu muwe na tahadhari naye. Hata hivyo ili kufikia conclusion ya maana suala lake lijadiliwe na vikao husika vya CDM
  2. Megabytes

    Tahadhari:kama wewe ni mtanzania mzalendo/unaipenda nchi yako usitazama hapa

    Nchi ya Rwanda imetoka kwenye vurugu za maapindizi na mauaji ya kimbari mwaka 1994 na sasa hivi miaka
  3. Megabytes

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Inakuwaje kituo cha habari cha nje kitoe taariofa kuhusu Tanzania kabla ya vyombo vya habari vya ndani (TBC, STAR TV, ITV etc) wao wako bussy na kupiga taarabu tu! Kweli watanzania yule aliyeturoga kesha kufa!
  4. Megabytes

    Kwa Vifo Hivi, Watanzania Tujiunge Kulaani na Kuwataka Viongozi Husika Wajiuzulu

    Niko najiuliza, labda ITV wangewaelekeza hao wahanga wajitambulishe kwa kuweka surname za majina mazito serikalini au chama tawala. Wangeropoka majina yoyote ya vigogo kama surname zao. Hapo harakati za kuwaokoa labda zingeanza, ni mawazo tu.
  5. Megabytes

    Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    Kwa takwiimu hizo yamkini Ruto alitakiwwa amsalimu Batilida shikamoo dada au wangesalimiana kwa Batilida kumwambia Ruto, habari, hujambo au mambo?
Back
Top Bottom