Recent content by meemi

  1. meemi

    KERO Kero ya kukatika maji Kawe Ukwamani

    Duuh huu waraka una uhusiano gani na post🤔
  2. meemi

    KERO Kero ya kukatika maji Kawe Ukwamani

    Mbona waraka tena mkuu Kwani kuna shido🙄
  3. meemi

    KERO Kero ya kukatika maji Kawe Ukwamani

    Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na uchafu huku wahusika wakikaa kimya na viongozi wa serikali ya mtaa kutoshughulika na kero hii...
  4. meemi

    Mbowe, mkanye Lissu

    Dp yako nmeipenda. Ila haina uhusiano na unayoyasema
Back
Top Bottom