My dear, mwanaume akikuchoka anatafuta kila sababu ya kutokea. Kama nimekuelewa umeandika kuwa jina mlikubaliana kabla, ila baadae ndio amekuja geuka. Huyo amepata mwingine huko aliko ndio katafuta sababu ya kukuacha,,, Mpigie simu jaribu kuongea nae kuwa angependa mtoto aitwe nani, ukona hana...