Recent content by Mdutch

  1. Mdutch

    Munishi: Serikali ya Kikwete imewalaghai Vijana Tanzania

    Akili yako ni ya wale wale vichaa wa lumumba
  2. Mdutch

    Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

    CCM imewapumbaza sana vijana kama nyie. Imeshawaaminisha kila kitu na kila mtua anafilisi taifa hili. Muda si punde hata wewe utakombolewa tu kiakili.
  3. Mdutch

    Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

    Akili yako fupi. Nani alitangaza uwepo wa UKAWA ndio mwisho wa shughuli za ujenzi wa vyama vinavyounda UKAWA?
  4. Mdutch

    Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

    Aliyewabatiza CCM kwa jina la Interahamwe hakukosea. CCM daima mnawaza kujeruhi, kuangamiza na kuua kabisa. CCM ina mambo inawaza na kupanga mambo ya kishetani na kichawi chawi. Hizi ni tabia zilizopitiliza za Interahamwe. Ndio maana nchi haisongi mbele kwa fikra kama hizi
  5. Mdutch

    Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

    Ndugu usimlalamikie kichaa kwani na wewe utaonekana kichaa. Vijana wa Interahamwe hawana akili kwani ni kundi la vichaa wa Interahamwe hao
  6. Mdutch

    Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

    Vijana wa Interahamwe mna akili fupi! Hivi akiwa Deogratias Freeman Mbowe ndio kutatoa uhalali kwake kuwavua magamba ama kutabatilisha? Furahia basi, anaitwa Deogratias Freeman Mbowe na emazaliwa na mama yako, Chakubimbi mkubwa wewe!
  7. Mdutch

    Wakati CCM Ikijipa Matumaini Hewa Vyuoni, CHADEMA Yachanja Mbuga Kujisimika

    Ridhiwan Jakaya Kikwete Godfrey Mgimwa Zainabu Kawawa Namelock Sokoine Etc. Unaweza kujieleza kuhusu hili?
  8. Mdutch

    Wakati CCM Ikijipa Matumaini Hewa Vyuoni, CHADEMA Yachanja Mbuga Kujisimika

    Ndo ishakula kwenu vijana wa magamba. Nyie endeleeni kufarijiana karimjee kama mlivyofanya juzi, wenzenu ndo haooooooo!
  9. Mdutch

    Wakati CCM Ikijipa Matumaini Hewa Vyuoni, CHADEMA Yachanja Mbuga Kujisimika

    Wengine walikua mateja waliozolewa pale posta mpya wakapachikwa jezi za magamba na kuitwa wasomi wa CCM
  10. Mdutch

    Kigwangala na timu yako - zungukeni mikoani ila hamtamuweza Lowassa

    Mijiccm hamuishi vituko. Haya ngoja sisi tujieonee isyo sinema yenu
  11. Mdutch

    Kushamiri kwa madawa ya kulevya nchini; BAVICHA yailipua ikulu na Kikwete

    Usiangaike na hawa misukule ya Interahamwe. Utapoteza muda wako bure. Unga ushawaharibu huku mwenyekiti wao akiwa anakodoa macho tuu.
Back
Top Bottom