Recent content by Mdumi ashery

  1. M

    Sumu ya panya inaweza kumuua kenge?

    Hivi sumu ya panya inaweza muua kenge, nimepaka sumu vipande vitatu vya nyama halafu ni kamuwekea pale anapo pitaga nje ya shimo lake na inavoonekana kala sasa sijui kama atakufa au la vipi sumu ya panya inaweza muua kenge kweli au nimefeli.
  2. M

    Natafuta benki inayotoa mkopo kwa muda wa miaka 10

    36m je mm watanip ngap hapo na nitaludish sh ngap jumla pamoja na riba
  3. M

    Natafuta benki inayotoa mkopo kwa muda wa miaka 10

    Nauliza benki inayotoa mkopo kwa muda wa miaka 10. Nataka wakate makato ya Tsh. 300,000. Kiasi gani ambapo basic yangu ni Tsh. 992,000?
Back
Top Bottom