Akili unayozaliwa nayo ni ile ya survival, kutokana na complexities zilizopo elimu ni muhimu. i.e unazaliwa unajua kucheka, kulia, kula, kunya nk, lakini haitoshi kuweza kufanya analysis kubwa za kukusaidia kufanya maamuzi. Nitakupa mfano, jamii ambazo zimebaki na elimu ya kuzaliwa i.e. kijiji...