Recent content by Mdude_Nyagali

  1. Mdude_Nyagali

    Kitabu cha anguko la CCM kiko njiani

    Binafsi naamini mwaka huu kuna anguko kubwa la CCM. Ndio maana tangu January mwaka huu nilianza uandishi wa kitabu kinachosimulia anguko la CCM. Ndani ya kitabu hicho nasimulia siasa za Tanzania tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Ndani ya kitabu hiki kuna simulizi ya mabaya na...
  2. Mdude_Nyagali

    PreGE2025 Kisa cha kesi za uhaini kwa Lissu na CHADEMA ni kama ANC na Mandela

    Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
  3. Mdude_Nyagali

    Yesu ambaye ndiye Role Model wetu Wanaharakati naye alipewa Kesi ya Kisiasa kama Lissu

    Kuibuka kwa yesu kristo kulileta matishio makuu mawili moja ikiwa kwa utawala wa Roma na pili ikikuwa kwa dini ya kiyahudi. Kwamba Yesu wakati anazaliwa alikuta utawala wa Roma ndio ulikuwa unatawala dunia na hata wafalme na magavana kutoka Israel waliteuliwa na kaisari kutoka Roma. Sasa...
  4. Mdude_Nyagali

    PreGE2025 Mapendekezo ya muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania

    Kutokana na mapungufu ya kikatiba yaliyopelekea kuwa na tume ya uchaguzi isiyohuru kiutendaji, nimependekeza muundo wa tume unaoweza kutibu majeraha. Tunajua kwa sasa tume iliyopo @TumeUchaguziTZ imeboreshwa jina kwa kuongezea neno huru lakini utendaji wake umebaki mbovu vilevile kama zamani...
  5. Mdude_Nyagali

    Jukumu letu ni kukomesha siasa za kitapeli

    Jukumu letu sisi kama wanaharakati ni kukomesha siasa za kitapeli. Siasa za kitapeli ni kikundi cha watu wachache kujipatia madaraka kwa mtutu wa bunduki halafu wanadanganya kuwa wamechaguliwa. #NoReformsNoElection .
  6. Mdude_Nyagali

    Kidnapping Chain

    During the JPM regime, there was only one kidnapping gang, led by JPM's home boys Albert Bashite and former Nyaulingo RSO Mby.. The gang involved security personnel from the Lakes region and no more than three soldiers. I knew because this gang kidnapped me. During the SSH regime, there are...
  7. Mdude_Nyagali

    Rais Samia asijaribu huu mpango mbaya wa kujiongezea muda wa kukaa Ikulu

    Ajaribu aone Deep State wafanye kama walivyofanya kwa mwendazake. Mwendazake alitaka kulamba asali kwa kutumia kisu akaumia. Endapo asingekuwa na tamaa ya kubadili katiba ili aendelee kutawala pengine bado angekuwepo. Mpango huo wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala ulianza mwaka...
  8. Mdude_Nyagali

    Mapendekezo ya Mdude kuhusu reform ya tume ya uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu 2025

    Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume hiyo. Kumbuka kwamba Rais anayeteua viongozi na watendaji wa tume pia ni kiongozi wa chama mojawapo...
  9. Mdude_Nyagali

    USA sio Mungu wakikosea tuwapinge, kwenye hili nasimama na Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Trump amewawekea vikwazo vya kifedha na Visa kwa maafisa wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa viongozi wa juu wa Israel Israel na washirika wengine wa USA. Mtakumbuka kwamba mwaka jana 2024 mahakama hiyo ya kimataifa ilitoa hati kukamatwa...
  10. Mdude_Nyagali

    Ashugulikiwe aliyepo nyuma ya Kagame na M23 yake kukomesha umwagaji damu mashariki ya DRC

    Fikiria hawa ni raia wameuawa na M23 huku askari wetu wawili wa JWTZ na askari wanne wa South Africa waliokuwa wakiwalinda raia nao wakiuawa kikatili. Nchi ya Congo ingekuwa haina madini na rasilimali zingine sidhani kama huyu Paul Kagame na Kaguta Museveni wangekuwa na kashfa ya kuwa nyuma ya...
  11. Mdude_Nyagali

    Ni kweli Watekaji hawajulikani?

    Kennedy Mwamlima anasema alivyotekwa Mbeya mwezi April 2024, watekaji walimfunga pingu na kumvalisha mzula usoni ili asione lakini mzula huo ulikuwa unaangaza. Anadai gari hilo lilikuwa linaendeshwa kwa kasi mno kuliko ambulance huku dereva akipuuza kuzingatia alama za usalama barabarani...
  12. Mdude_Nyagali

    Bashite na Theology pia ulifeli?

    Juzi akiwa katika jukwaa la mjasiliamali na mfanyabiasha wa neno la Mungu Mwamposa huko Arusha Bashite alisikika akiwakemea viongozi wa dini wanaotoa matamko ya kupinga utekaji na mauaji katika taifa letu. Bashite alienda mbali kidogo na kusema kwamba hata Yakobo alivyokatwa kichwa na Petro...
  13. Mdude_Nyagali

    Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

    Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na kuweka public. Nimeshaandika barua na nimewapa ndugu wote ni zamu yenu kusoma barua hii. Mdude Nyagali...
  14. Mdude_Nyagali

    8 September, 2024 ni siku ya Maombi ya Kitaifa kuwaombea waliotekwa

    Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa...
  15. Mdude_Nyagali

    𝗕𝗮𝗿𝘂𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝗱𝘂𝗱𝗲 𝗡𝘆𝗮𝗴𝗮𝗹𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗺𝗶𝘀𝗮𝗮𝗱𝗮 𝗶𝘀𝗶𝘁𝗶𝘀𝗵𝘄𝗲

    Hili suala la Soka na wenzake kutekwa, tayari nimeanza kuchukua hatua. Kwanza nimewaandikia barua kamati za bunge zinazohusika na mambo ya nje bunge la seneti USA na EU kutaka wasitishe misaada kwa serikali ya Samia kwa sababu inakiuka haki za Binadamu na Utawala Bora. Barua zote wamepelekewa...
Back
Top Bottom